Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Hapa ulitia ngapi mkuu? au ulikuwa unatest mitambo!
Kiongozi nilikuambia hii game ya derby (United vs LFC) shilingi itasimama yani SareJifanye unajikuna TU.kwamba haitakuwa greenView attachment 1030990
Sent using Jamii Forums mobile app
Juventus anatoka kweli leo? Nataka nimdhamini kwa laki ya direct win? Atantunzia hela yangu kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Refunded
BET WON
Unanitisha mkuuYani kumuamini huyo inataka moyo sana. Dortmund ni bora uende nae kwa magoli.
Sent using Jamii Forums mobile app