Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Wana 5 shots on goal ... wakiendeleza mashambulizi hayo second half kuna uhakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee wachangamke, wamebaki wao tu hapa
Wana 5 shots on goal ... wakiendeleza mashambulizi hayo second half kuna uhakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
La 4Dortmund kamaliza kazi
La 3 katupia
Kabaki Madrid sasa
La 4
Wap wazee wa over?
Genk 1-0Genk.......Genk......na Samatta, walau mkiniangusha sitawabetia tena
Polee..
Umeiona wapi?Samatta kachana mkeka
Sasa huu ni uchawi mwingine.. ila utakuwa unaliwa sana na Khanji mkuu kuliko wale over!!Mdogo mdogo tuView attachment 1031211