Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Hao PetroLuanda walikua na Odds 12 ilikua kidogo nizijaribu kwa buku 10
 
Mkuu Mayu Hapa ndio umebet under halafu kinaibuka kitu kama hiki. HahaaaaView attachment 1031286
Mkuu inanikumbusha juzi kati mechi ilienda hadi dk 75, nika place under 0.5
Ile namaliza goli lika ingia, niona haiwezekani mwekundu aende kizembe, kucheck odd zipo 3,70 nikatupia tena under nipate elf30 nirudishe ya mwanzo
Sijakaa sawa goli
Kuchek odd zipo 2+ nika place tena ili nipate elf20 nirudishe hela yangu
Ile na maliza tu goli

Nikakata tamaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…