Mkuu tuelekeze tutapataje kama ni kwakoLain ya Safarcom, mkonon, 1Γbet & betin zibisha hodi.
Mimi nahitaji mkuuKama una elf nane, na unajua namna laini itakavyokufikia mimi nipo boda namanga na unaniamini kabsa nakusajilia uku then nakutumia kwa njia unayotaka wewe. Asante
Tip zinakuja mda si mrefu usicheze mbaliWazee was Basketball, kesho alfajiri kuna game 11 za NBA ... tutoke vp, Over au Under?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo tunavizia mkuu, tips zako huwa hazitulazi njaa, be blessed! Ntakuwa nafresh kila mara kuvizia ndoano za nba
Kabisa, hatutaki hasara