Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1551122712081.png
 
Wewe mtu ndio juzi ulitangaza unauza sure Odds 10,000 kwa sh elfu 10 na ukadai unajua pa kuzipata???Nyie watu kuna muda ebu kuweni matured aisee,msiwe mnaleta hizo mambo za kipuuzi humu wakati wengine wako serious
@Mr. Wise nakuheshimu sana japo ulisoma ila hukuelewa hoja yangu.

Nakumbuka baada ya kutoka povu lako nilikwambia "kuna sentensi utasoma ila hutaweza kuelewa"
 
Back
Top Bottom