Usithubutu kumuamini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sina hamu na Copenhagen yaani kachoma bank.
Katika ligi ambazo zimeshanitia hasara sana, ni hii ya Romania ... matimu hayaeleweki yani mamaeee. Ukiyaomba over 1.5 siku hiyo yataenda 0-0, ukibana kwa under 3.5 ndo matokeo 1-3
Napiga ban ligi nzima. Shubaaamit !
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada PleaseNBA mechi zote 11 weka GG stake laki 2 lala. Asubuhi unipe shukrani.
Copenhagen mpuuzi kweli.
Mkuu umenifanya nicheke peke yangu kama chizi
Sometimes betting ni full stress aisee
Mmmh NBA leo mech ni 11. Kuna haja nilale saiv niweke alarm saa nane dk 40 tuwe macho. Hii kazi utafikir tuna mtihani asubh
Haaah mkuu option ya GG NBA ndo ipoje iyoNBA mechi zote 11 weka GG stake laki 2 lala. Asubuhi unipe shukrani.
Copenhagen mpuuzi kweli.
Hata mm ndio nilichanganyikiwa hapo,maana kwwnye basketball sijawahi kuina hiyo kitu
Mkuu, hii ni Kampuni gani? Na una Deposite na Kutoa vipi?Every little helps Brothers..
Business nimefunga rasmi kwa weekend hii. [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1030399
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Dah yaani natamani ingekuwepo.
WALIOFWAYTAAAAAAA SOMAA HIOOOO HT X BOOOOOOM 2+INPLAY
*GIRONA VS REAL SOCIEDAD*
HT X
*2.80 ODD*
HT CS 0-0
*4 ODD*
FT X
*4.30 ODD*
FT CS 1-1
*8 ODD*
*EVERGREEN💚💚💚*
Navyofahamu under 1 ni inatakiwa goli lisifike moja unakuwa umewin bet, ila likifika moja unarudishiwa stake yako na over 1 goli linatakiwa livuke moja lazima inamaana mawili na kuendelea ndipo unawin bet likiishia moja unarudishiwa stake...Jamani hivi option ya under 1, au over 1 inamaana gani 1xbet
Nimezoea under/over zina kua na point
Mzee tayariii uko GGWazee Wa kujilipua odd 4+View attachment 1032143