Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Uliamini nina odds 10,000 fixed? Kuna vitu ukiviweka kichwani utajikuta unaumiza kichwa chako bure.Again sasa povu ndio kitu gani tena iko?Huu uzi umekua sio kabisa huu nowadays.
Uliamini nina odds 10,000 fixed? Kuna vitu ukiviweka kichwani utajikuta unaumiza kichwa chako bure.Again sasa povu ndio kitu gani tena iko?Huu uzi umekua sio kabisa huu nowadays.
hawa waturuki watakuwa wanafix matches sio bure. Yani km movie vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Beskitas goli zote 3 zimerudi khaaa!!
My point is,Uliamini nina odds 10,000 fixed? Kuna vitu ukiviweka kichwani utajikuta unaumiza kichwa chako bure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Katika ligi ambazo zimeshanitia hasara sana, ni hii ya Romania ... matimu hayaeleweki yani mamaeee. Ukiyaomba over 1.5 siku hiyo yataenda 0-0, ukibana kwa under 3.5 ndo matokeo 1-3
Napiga ban ligi nzima. Shubaaamit !
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo jambo nahisi kila siku tunalisema humu juu ya fixed game na watu wanaona ila anapouliza mara nyingine lazima aambiwe kivingine.My point is,
Huitaji kuwa mislead hao juniors kwa kuwaambia vitu ambavyo si vya kweli, You just tell them the open Truth kua "There is no Fixed game"......Just
Teach them
Direct them
Open their eyes
Imagine kua wewe ndio mgeni na hujui kitu alafu unaingia huu uzi na unakutana na mtu anakumbia vile, it does not make sense. People wapo humu ku learn strategies, ku share tips, kuwekana vizuri ktk hii game.(Ukimlisha mtu kitu cha namna ile utamfanya aje kuibiwa)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sina hamu na Copenhagen yaani kachoma bank.Wase***ge sn ... nimebembeleza odds 2.3 nimetia 50K imeenda na maji.
Nilijua napata mtaji wa NBA
Sent using Jamii Forums mobile app
Google kampun inaitwa Computer sales and services kifupi CSS boss anaitwa Aliraza jessa pale Nina uhakika kwa profesionlism yako utapata kazi office iko upanga.MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA
Habari za muda huu kwa mara nyingine tena
Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu
Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu
naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu
Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...
Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana
Elimu yangu: Degree
Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)
Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)
Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya
》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering
》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography
》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo
》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)
》Computer Networking
》 System analysis and design
MSAADA WENU WAUNGWANA
MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA
KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU
NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY
NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO
MUNGU WABARIKI SANA
NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI
NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
Mkuu umenifanya nicheke peke yangu kama chiziKatika ligi ambazo zimeshanitia hasara sana, ni hii ya Romania ... matimu hayaeleweki yani mamaeee. Ukiyaomba over 1.5 siku hiyo yataenda 0-0, ukibana kwa under 3.5 ndo matokeo 1-3
Napiga ban ligi nzima. Shubaaamit !
Sent using Jamii Forums mobile app
Upendoowa aina HII NDIOO unatakiwa
KAMA ZITAFIKA LINE 10+
NAWEZAKUWAPA MTU WA SAIBABA ATAKUWA AKIWALETEA.MNACHUKULIA UBUMGO
Halafu draw alikuwa Na odd 6[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sina hamu na Copenhagen yaani kachoma bank.