Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
WOOON AISEEEEE...!!!Wazee Wa kujilipua odd 4+View attachment 1032143
WOOON AISEEEEE...!!!Wazee Wa kujilipua odd 4+View attachment 1032143
Aisee...!!!
Ukiwa Na mashaka usijilipue
Mzee hiy0 lingi ni ya kima**ku sana m nishaikimbiaa toka kitamb awasomek kbsaaa wal machizzzKatika ligi ambazo zimeshanitia hasara sana, ni hii ya Romania ... matimu hayaeleweki yani mamaeee. Ukiyaomba over 1.5 siku hiyo yataenda 0-0, ukibana kwa under 3.5 ndo matokeo 1-3
Napiga ban ligi nzima. Shubaaamit !
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wawili wametoka draw kama uliweka laki una 125,000/= hamna kupoteza. Aisee...!!!Wazee Wa odd 2+, kazi kwenu.View attachment 1031751
GIRONA FT X MAXB