Chunga Sana
Senior Member
- Feb 3, 2015
- 117
- 88
WhatsApp 0719957092Nahitaji line ya safaricom.
Kwenye DM yako mazungumzo naona hayaendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu timu anayocheza nayo inamsumbua sana
Jimwage mzigo wote ulionaoSababu timu anayocheza nayo inamsumbua sana
Hii ni hela ya bure kabisa. Wanaruhusu kudeposit via mobile payment.Hela ya wazi SIMBA @2.5
Ingia kwenye account yako ya premier then nenda chini sehemu ya mitandao changua vodacom ku deposit ingiza kiasi afu send utatumiwa reference no. Na maelezo yote ya namna ya ku deposit.Wakuu naomba kuelekezwa jins ya kuweka hela kwa kutumia M PESA kwenye accont ya premierbet
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ya bure hii . Simba anashinda bila kupapasa macho nimeangalia mechi nyingi za lipuli ni timu ya kawaida tu haina hata jihadi kama ile ya coastal union