Wakuu naomba kuelekezwa jins ya kuweka hela kwa kutumia M PESA kwenye accont ya premierbet
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia kwenye account yako ya premier then nenda chini sehemu ya mitandao changua vodacom ku deposit ingiza kiasi afu send utatumiwa reference no. Na maelezo yote ya namna ya ku deposit.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ndo umejiunga kuna uwezekano hujakamilisha registration. Kwani ulishawahi ku deposit hapo mwanzo ukafanikiwa?
Hii game ya Milan VS Lazio mnaionaje wakuu nataka niende nayo under 3.5
log in kwa account yako then nenda sehem ya deposit n utapata maelekezo yoteWakuu naomba kuelekezwa jins ya kuweka hela kwa kutumia M PESA kwenye accont ya premierbet
Sent using Jamii Forums mobile app