Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

JINSI YA KUSHINDA JACKPOT YA SPORTS PESA NA PERFECT 12 YA M- BET.
-----------------------------------------------------------
Habari za muda huu watanzania wenzangu kwa majina naitwa dickson john ni mtanzania wa kawaida tu. Nimekuwa nikijihusisha na masuala ya kubeti jackpot na perfect 12 za sportsPesa na M - Bet kwa mwaka mmoja na miezi kadhaa na nimefanikiwa kushinda mara 3 , mara ya kwanza nilifanikiwa kushinda mechi 11 za jackpot na nikalipwa 112,5000 TZHS mara ya pili nilishinda mechi 10 za pefect 12 na mara ya tatu nilishinda game 9 za perfect.
Nataka leo tushee jambo moja ambalo kwa namna moja ama nyingine naona linaweza kuwasaidia vijana wenzangu mnaojihusisha na mchezo huu
Kuna mbinu mpya ambayo nilifundishwa na rafiki yangu wa uturuki ambayo inatumika katika kushinda hizi jackpot za makampuni ya kubeti. Hii ndio sababu iliyopelekea makampuni ya kubeti uturuki yaondoe kipengele (option ) ya JACKPOT kwa kuwa kila wiki ya jackpot watu zaidi ya 50000 walikua wakishinda mechi kuanzia 10 na kendelea makampuni yalielekea kufilisika

Kwa kutekeleza hilo nimeamua kufungua magroup mawili ya whatsAp ambayo yatakuwa na watu 400 kisha kila mmoja atapewa ticket 4 za jackpot na 4 zingine 4 za Perfect 12. tickect hizo zinafanana zote kwa kila mtu kwahio ni lazima uzibetie kwenye account zako. Na kila mmoja lazima anipatie nyaraka zake za utambulisho ili kuepuka kutapeliana kwa sababu nitakuwa nikichukua 5% ya fedha uliyoshinda

Nawahakikishia watanzania wenzangu siku ya kwanza kufanya kazi na mimi kuna kitu tofauti utakiona na mambo yatakuwa mazuri kuliko ulivotarajia

Nimefanikiwa kuongeza mtaji wangu kupitia hizi jackpot na kwa sasa mambo yangu ni mazuri tu ndio maana nimeamua kuwashirikisha na vijana wenzangu tuwakomeshe hawa wahindi.
KWA AJILI YA KUPATA WATU WENYE NIA NA WALIOSERIOUS NIMEAMUA KUWEKA KIINGILIO ILI KUWE NA NIDHAMU KIDOGO NA UMAKINI BILA KUSAHAU UFATILIAJI
KIIINGILIO KWA KILA MMOJA KITAKUWA NI 10000/= UKISHALIPIA UTAUNGWA MOJA KWA MOJA KWENYE GROUP NA BAADAE UTAANZA KUPEWA TICKET

Nawahakikishia tunakwenda kufanya makubwa kwenye hii mbinu yangu na baada ya muda mchache kuna mambo makubwa kila mmoja atanufaika nayo. MAWASILIANO YOTE YANAFANYIKA INBOX KWANGU HAPA FACEBOOK

Kwa mawasiliano

0685908935

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuma mikeka yako ikionesha historia ya kuila kampuni zote mbili kwa kipindi cha mfuatano vinginevyo shut up your mouse na huku sio facebook huku ni kwingine kabisa ni kwa ma konki pdidy atawachemsha huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta ndugu, jamaa na rafiki zako mpige pesa kimya kimya na mtajilike..
Shubaaamitii!
 
R.I.P.
R.MUTAHABA

sometimes yes sometimes no
 
Scotland League Two

Berwick vs Annan Athetic
HTFT (2/2) @ 1.60

Peterhead vs Cowdenbeath
Home win @ 1.36

Odds 2.18

England Championship

QPR vs Leeds

Over 2.5 @ 1.90

Stake ¾
 
Bila shaka wewe ni mgeni katika Gambling!

Note:
1. Iyo red, Huwezi kumkomoa mwenye kampuni ya Gambling hata siku moja
2. Kipengele pekee chenye faida kwa wanaobet si huko ktk Jackpot bali ni hizi za game moja moja (Huko ktk jackpot utegemea sana bahati, jiulize siku ngapi zimepita tokea mtu ashinde Jackpot ya sportspesa?Hii inamaana kila siku ambayo hakuna mshindi nyinyi huwa mnawachangia tu kampuni pesa, yani kama kina Biko, 3Mzuka
3. Hesabu yako ya kupata mtaji kirahisi ni kali sana.....Umesema unataka group la watu 400 kwa kiingilio cha 10,000 kila mtu

400X10,000=4,000,000/ zote hizi ziingie kirahisi mifukoni mwako?aisee bhasi sawa
Ushauri kwako: Magwiji wote na matajiri wa Gambling hawachezi wala kutegemea hizo Jackpot maana ni kupoteza pesa tu. We ujiwahi stuka una mwaka mmoja na kitu ila pesa uliyokula haifiki laki?Sasa piga hesabu umepoteza kiasi gani katika just mwaka tu kwa kucheza Jackpot ya 1000 daily tu
 
Yaani kubashiri kuwa game itakua win ,lose or draw kuna mbin?we ni mbuzi sana afu kwa ujinga wako unaitisha kiingilio pumbavuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PSG vs Dijon tip 1 HT
Padova vs Brescia Tip X2
Huddersfield vs Wolves Tip X2
Chorley vs Nuneaton Tip 1
QPR vs Leeds Tip X2
Peterhead vs cowdenbeath tip 1
Stirling vs clyde Tip X2
Newry City vs linfield Tip 2
Maccabi tel Aviv vs sakhnin Tip 1
Farsley vs North ferriby Tip Over 2.5
Ballymena vs cliftonville Tip 1X
Lincoln vs exeter Tip 1X
Bristol City vs brimingham tip 1X
El ismaily vs el Gaish Tip 1X✔✔✔
El masry vs Enppi Tip 1X✔✔✔
Ross country vs Ayr Tip 1X
Lazio vs Aç Milan Tip over 1.5
Umraniyespor vs trabzonspor Tip Over 1.5
 
Mbulula wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[2/26, 10:55 PM] King Opulence: *8bhgy*

_2 odds_

Lafnitz - Allerheiligen
Total: Total Over (2.5)
1.425 ✅✅✅
Varbergs BoIS - Lindome
Double Chance: Varbergs BoIS Or X
1.45 ✅✅✅

*mr opulence*

🤝💯🏧💃🤸‍♂💪💋💰
[2/26, 10:55 PM] King Opulence: *tzkgy*

_3.69 odds_

HNK Gorica - NK Drava Ptuj
1X2: W HNK Gorica
1.31 ✅✅✅
Mannsdorf - Stockerau
1X2: W Mannsdorf
1.8 *pending*
CSKA Sofia 1948 - Kariana Erden
1X2: W CSKA Sofia 1948
1.565 ✅✅✅

*mr opulence*
 

Huyu Mr Opulence ni mtu mbaya sana ... anaelekea kunirudishia hasara ya jana.

Asante sn Mpwaa Pdidy





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…