Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Sijawahi jaribu weekend KiongoziMkuu, hawa jamaa (premierbet) ni kweli wanaruhusu ku-withdraw weekends pia?
Sijawahi jaribu weekend KiongoziMkuu, hawa jamaa (premierbet) ni kweli wanaruhusu ku-withdraw weekends pia?
Poa ngoja tubetImetulia labda itokee la kutokea ila hakika iko makini😎
Wakuu naomba kuelekezwa jins ya kuweka hela kwa kutumia M PESA kwenye accont ya premierbet
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo clear ni snipping...May be your device ina pbm
Betpawa washenzi.
Nawaama rasmi ngoja nianze kutumia parimatch kuanzia leo...
Hizi odd za simba zilikuwa tamu sana, halafu mechi hawajaweka...