HatariiiiKwa kweli weekend Ni nzuri,Namsubiri Barca over 1.5 na young boys nifunge hesabuView attachment 1036286View attachment 1036287View attachment 1036288View attachment 1036289View attachment 1036290
Sent using Jamii Forums mobile app
1-2 FT...Kashinda
Yes, ... ila nilichukua hii slot na ile slot nyngne nlimchukua Arsenal kwa handicap.BET WON Buddy amebaki Barca ile Slot No.1
Yaani mkuu hapa young boys katushika pabaya... Mimi kabaki yeye tu ...Kwa kweli weekend Ni nzuri,Namsubiri Barca over 1.5 na young boys nifunge hesabuView attachment 1036286View attachment 1036287View attachment 1036288View attachment 1036289View attachment 1036290
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwajaribu haoSevilla wanawachukulia poa hawa madogo (Huesca), li aweza likalala hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
MchezaJamani ukiondoa Betpawa ni kqmpuni gani ya kibongo ina options nzuri angalau za kukaribiana na 1xbet
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm Sina wasiwasi nae hata dk y 90 atatoaYaani mkuu hapa young boys katushika pabaya... Mimi kabaki yeye tu ...
Sevilla kapigwa ... duuuh! ...dk ya 96. nlikuwa nasubiri 140K, nliwapa DC.Usiwajaribu hao
Nduguuuu za masiku mengi... Yaani hapa Young boys kashikilia 80k manina walahiSevilla kapigwa ... duuuh! ...dk ya 96. nlikuwa nasubiri 140K, nliwapa DC.
Balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Recently kuna team zimekua sio za kuziamini tena haswa zikiwa ugeniniSevilla kapigwa ... duuuh! ...dk ya 96. nlikuwa nasubiri 140K, nliwapa DC.
Balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nduguuuu za masiku mengi... Yaani hapa Young boys kashikilia 80k manina walahi