upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,089
- 4,535
Kuna muda Meridian wakiona una chnace kubwa ya kushinda wanakupa option ya turbo ila kila dakika zinavyoenda amount inakuwa inapungua ndio maana unaona hapo game ya Sparta Rotterdam odds zilishuka mpaka 0.44.Mkuu matimu mengine noumer sana. Kwani unaweza kuturbo wakati mechi ikiendelea?
Sent using Jamii Forums mobile app