Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana dortmund na inter alichotufanya mungu anajua tu

Sent using Jamii Forums mobile app



Katika timu ambazo sijawahi kujisikia confortable kuiamini ni Borussia Dortmund. Yani huyu muda wowote anakutia hasara.
Anyway, hii style ya KipusaNDAMCHO inaonekana ni nzr, it's worthy trying it ...

1551513667077.png
 
Slot No.2

Wolverhampton Wanderers - Cardiff City
Wolverhampton Wanderers
1.55
SM Caen - Paris St Germain
Paris Saint Germain
1.22

Odds:
1.89
 
Back
Top Bottom