Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habarini wakuu...

Wadau wa 1XBet .. Kuwithdraw kwa bitcoin inachukua muda gani maximum kukamilika muamala ... Na pia kutoka bitcoin kuja kwenye simu yako pia inachukua muda gani.? Msaada tafadhalini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jaribu Mcheza ni copy and paste ya 1xbet
Uta deposit kwa mpesa na tigo pesa
Withdraw kuanzia buku na kudeposit hela yoyote
Kutoka 1xbet kuja bitcoin acc ni kuanzia dk hadi lisaa
Baada ya hapo itategemea ushapu wa mnunuaji wako wa biticoin

Jaribu
Habarini wakuu...

Wadau wa 1XBet .. Kuwithdraw kwa bitcoin inachukua muda gani maximum kukamilika muamala ... Na pia kutoka bitcoin kuja kwenye simu yako pia inachukua muda gani.? Msaada tafadhalini

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Link yao iweke hapa.
 
Hao tatizo lao lipo kwenye ku withdraw hela kwa mobile,lazima uende kituoni kwao coz system yao ya mobile imezingua..
shukran sana...bora nimejua mapema niachane nao yani kampuni kubwa linashindwa kuweka mambo sawa kuwithdraw!!!!!!!!!
 
Kuna muda Meridian wakiona una chnace kubwa ya kushinda wanakupa option ya turbo ila kila dakika zinavyoenda amount inakuwa inapungua ndio maana unaona hapo game ya Sparta Rotterdam odds zilishuka mpaka 0.44.
Du wajanja sana hawa jamaa I see!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…