Mkuu kuhusu kiasi mbona kama ukiweka below walichokirecommend hautaweza kuclick hata ile withdraw button..
Kila kitu nimeweka sawa na withdraw request ilienda ila wakaicancel
Mpwa meridian wamekaa vizuri? Naona umerudi nyumbani kama Lowassa
Ndio mkuu nilitumia bitcoin
Haina sheeda hiyo.Wakuu hiii imekaaje?View attachment 1037024
Aise hiyo game ngumu wape ata mgoliWolfsburg vs bremen hii mechi mnaionaje?
Tukutane Kwa wakala.GG mechi ya SPAL