Winners Tips Tz
Member
- Dec 6, 2017
- 29
- 19
Wakuu nahitaji msaada wenu tafadhali
Nilikuwa natumia 1xbet,na kudeposit ilikuwa ni M-pesa na tunajua kua wameifyekelea mbali
Baada ya kuchoshwa na ubaradhuli wa bet company nyingine nikarudi 1xbet kwa kutumua bitcoin..nikaplace bet nikawin,nilopotaka kuwithdraw ikashindikana nikawacontact wakanijibu hivi![]()
Wanachokimaanisha hapo haswa nini wakuu??
Je wale mnaotumia bitcoin au mliowahi na kabla mlikuwa mnatumia mobile money hili tatizo hamjalipata??
View attachment 1036868
Hapo kuna vitu vya kuangalia ?umeweka sh ngapi na unataka kutoa sh ngapi? Pia ukumbue ukiweka pesa 1xbet ni lazimia ubetie kwa odds kuanzia 1.1 ndio uweze kuitoa
Pia kuna upotoshaji kwamba ukiweka kupitia btc utoe kupitia btc sio kweli.1xbet inaruhusu kutoa kwa njia yoyote unayohitaji provided ipo listed pale kwenye withdrawal page