Unatakiwa utoe kwa njia uliyoingizia i.e utoe kwa njia ya Bitcoin.Wakuu nahitaji msaada wenu tafadhali
Nilikuwa natumia 1xbet,na kudeposit ilikuwa ni M-pesa na tunajua kua wameifyekelea mbali
Baada ya kuchoshwa na ubaradhuli wa bet company nyingine nikarudi 1xbet kwa kutumua bitcoin..nikaplace bet nikawin,nilopotaka kuwithdraw ikashindikana nikawacontact wakanijibu hivi![]()
Wanachokimaanisha hapo haswa nini wakuu??
Je wale mnaotumia bitcoin au mliowahi na kabla mlikuwa mnatumia mobile money hili tatizo hamjalipata??
View attachment 1036868
Chelsea winWapendwa Mie mhindi kama anabifu na Mie.. nipeni hata timu tatu nimle nifurahi plz.. Kila cku lazima kuna mwanga mmoja anachana nikomboeni asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa utoe kwa njia uliyoingizia i.e utoe kwa njia ya Bitcoin.
Sent using Jamii Forums mobile app
pesa za laini yako ya voda (M-pesa Tanzania) zitume kwenye hiyo safaricom sema kuna vimakato vikubwa kidogo ila si sanaaHabari Wakuu.Nipatieni Msaada Kidogo.
Nina Laini Ya Safari com.Nimefungua Account Tayari 1xbet Kwa Kshs.Ni Namna Gani Naweza Kuweka fedha Kwenye Hii Laini,Na Pia Namna Gani Naweza Kuzituma Kuingia Kwenye Account yangu Ya 1xbet.Pia Msaada Wa Menu Ya Mpesa Ya Safari Com
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umefuata process zote za kuuza bitcoin na kiasi cha kutoa ni kuanzia Tshs 25000 sasa shida itakuwa wapi?!Nilitumia njia hiyohiyo njia ya bitcoin
Ndo maana nikajaa huku..by the way wewe ulishatumia mobile payment then ukahamia kwenye bitcoin kwa akaunti ileile??Kama umefuata process zote za kuuza bitcoin na kiasi cha kutoa ni kuanzia Tshs 25000 sasa shida itakuwa wapi?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweliLazima ufungue akaunti nyingine, la sivyo hutoweza kutoa lesa maishaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hi Ni aina gani ya betting!
View attachment 1036925