Aisee...ngapi hukooo???View attachment 1037292
Haiwezekani labda ubet win kila timu ikiwa odd zitakua zaidi ya 2 home na zaidi 2 away , ikitoka draw umeliwaWakuu hodi humu.
Kuna hasara gani kama ukiamua kubet kwa kuweka prediction zote, mfano.
Unaweka, Atashinda, drow na atashindwa. Will it pay?
Nyongeza ya swali.
Ipi App nzuri ya kubetia kwa sasa yenye odd tamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu kwa prompt replyHaiwezekani labda ubet win kila timu ikiwa odd zitakua zaidi ya 2 home na zaidi 2 away , ikitoka draw umeliwa
Kwenye michezo ambayo hakuna option ya draw wana limit lazima mmoja awe na odd 1 na mwingine zaidi ya moja
Kwenye betting hakuna kampuni yenye odd tamu au mbaya odds zote zinakaribiana sana sababu zinatoka katika source moja kuepuka arbitrage
Swala hapa ni wewe kuweza kutengeneza odds za ushindi na sio odd kuwa kibwa au ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
manu hafungwi mara mbili we mbayuwayuMtaalam mmoja wa betting anasema sio lazima ubet game zote za siku mojà
Kama una uhakika unatupia "juzi jana na leo"
Nawasubiri waliobakiView attachment 1037376
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Mkuu unaweza kunipa details kidogo source ya hizi odds za hawa bookmakers maana naona karibu kampuni zote huwa zinafanana hiviHaiwezekani labda ubet win kila timu ikiwa odd zitakua zaidi ya 2 home na zaidi 2 away , ikitoka draw umeliwa
Kwenye michezo ambayo hakuna option ya draw wana limit lazima mmoja awe na odd 1 na mwingine zaidi ya moja
Kwenye betting hakuna kampuni yenye odd tamu au mbaya odds zote zinakaribiana sana sababu zinatoka katika source moja kuepuka arbitrage
Swala hapa ni wewe kuweza kutengeneza odds za ushindi na sio odd kuwa kibwa au ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
kampuni ganii hii mkuu?!View attachment 1037496View attachment 1037497
Daah ningeweka ka laki hapo mambo yangekuwa si haba![emoji28]
Mkuu inawezekana kutoa pesa kwenda Mpesa au tigo pesa kwa hawa jamaa?Gal Sport Betting
Wanazingua aseeHawa betpawa mbn hawataki tunywe supu na mda unaenda tu
Mkuu inawezekana kutoa pesa kwenda Mpesa au tigo pesa kwa hawa jamaa?
God's Plan.
Sawa Mkuu, ahsante.Haiwezekani System yao imezingua kuwithdraw ni mpka kituoni kwao..mwenyew nampango niachane nao.