Deje
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 991
- 1,006
Hawa betpawa hili tatizo la kiufundi limekuwa too much hela unatoa toka jana mpaka sasa haijafikaWanazingua asee
God's Plan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa betpawa hili tatizo la kiufundi limekuwa too much hela unatoa toka jana mpaka sasa haijafikaWanazingua asee
God's Plan.
HATAMM NILIWAMINI SANAA NAONA WAMEKUWA WAHUNI ZAIDIHawa betpawa hili tatizo la kiufundi limekuwa too much hela unatoa toka jana mpaka sasa haijafika
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo weka manu win bila mashaka unatoboa!!Hii mechi ni ya kuiogopa sana, PSG bila Cavan na Naymar sio wakuwapa dhamana. Sitashangaa wakitoa sare
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Wahuni kweli aiseee!!!
Hawa Betpawa mbona wasumbufu hivi.Ni Nani aliyefanikiwa kuwithdraw leo?
Na pia kama niki-cancel withdraw request pesa itaingia kwenye account baada ya muda gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Kampuni zebye CashOut wanakufukuza wewe.Kila nikiiangalia hii mikeka ya jana nakosa majibu
Ama kweli kula uliwe
Bora nikomae na inplay kwanzaView attachment 1037574View attachment 1037575View attachment 1037577View attachment 1037579View attachment 1037580
Sent using Jamii Forums mobile app
Al Ahly wale wazee wa 5 watakosa kumpiga huyo kibonde bao 5 kuendelea kweli? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Harufu ya pesaView attachment 1037796
Hawa wakikutana kwenye ligi yao Wenyewe kwa Wenyewe hawafungani saanaa, naona Sana matokeo Yao 1-0,. 2-0, 1-1Al Ahly wale wazee wa 5 watakosa kumpiga huyo kibonde bao 5 kuendelea kweli? [emoji23] [emoji23] [emoji23]