Anarecover huko, halafu odd zilishoot mpaka 26
Mbona rekodi ya Midtjyalland ni nzr dhidi ya huyu jamaa ... wacha nijilipue Double chance kwake = 1X.
Potelea mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimaye hawa wajinga wamechana mkeka wangu.Mungu wangu, namaliza kuandika tu narudi kucheck progress nakuta 3-3 ... DC alikuwa na odds 6. Ushindi odds zilikuwa 22.
Wakishinda hii game nitajiona fala sn.
View attachment 1038070
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee.. Nilikuwa na wazo kama lako ila hii mijinga ya betpawa ikawa imeondoa hii mechi
Aisee.. Nilikuwa na wazo kama lako ila hii mijinga ya betpawa ikawa imeondoa hii mechi
Yaani betpawa wakinusa kipigo wanakimbiza faster tuAisee.. Nilikuwa na wazo kama lako ila hii mijinga ya betpawa ikawa imeondoa hii mechi
Hahahaaa.. wanatukosesha mpunga, Mrusi atabaki kuwa namba moja katika hii biashara.Yaani betpawa wakinusa kipigo wanakimbiza faster tu
Huu umaskini wao 1xbet haupo ndio maana wengi wanakimbilia hukoYaani betpawa wakinusa kipigo wanakimbiza faster tu
Nimeweza mkuu, labda kwa kuwa Ni amount ndogoVipi umeweza ku withdraw Mkuu??
Nafuata mkuuWale wa NBA kazi kwenu, ndoano mapemaaaa nshatega nazima simu nalala kesho asbh ni kuchungulia mavuno tu...
View attachment 1038097View attachment 1038098
Sent using Jamii Forums mobile app