Ngororo
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 235
- 414
Mkuu wangu, je ukipata hiyo milioni unaweza kustake milioni kwa return ya 90,000 faida??? embu nijibu.Jaman mbona mitaji haikui ili tuwe tunaweka stake ya 1000000. Tatizo nini ? Mbona kila siku tunaweka vistake vya kitoto, mtu akijitahidi sana anastake laki.
Ili betting uone faida yake stake ianzie million.
Mfano odd ya 1.09 ukiweka 1000000 faida 90000
Sent using Jamii Forums mobile app