Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Hongera.. ila mkuu unaonekana una roho ngumu kweli kweli..kubefi option ya UNDER!! tena kweli magoli!! Aah mimi siwezi aisee..
Hata Meridian wana hii option na nyingine nyingi za inplay, sema tatizo lao tu ni kwenye network! Ukiondoa hilo tu nadhani kwa local hapa bongo wanatisha..Mtaji muhimu
Na kampuni nzuri kwa hii michezo ni 1xbet
Mcheza wana hii option ukiwapiga mara kadhaa mfululizo wana disable hii option kwa acc yako
Kampuni nyingi zakibongo hawana hii option ya kuwea odds za aina hiiView attachment 1038391View attachment 1038392
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajua mkuu sema we huamini tusio kweli hamna kampuni yoyote ya betting inayojua matokeo kabla ya mchezo
Hii sio Bahati Bali ni namna unavyozijua team husika
tupia laki hapo usubiri faida 60kJamani huko Guanzhou anaongoza goli mbili bila lakini odds bado inasimama 1.6 kunani huko jamaniView attachment 1038508
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni timing na bahatiHongera.. ila mkuu unaonekana una roho ngumu kweli kweli..kubefi option ya UNDER!! tena kweli magoli!! Aah mimi siwezi aisee..
Labda unipe shule kidogo, unatumia vigezo gani mpaka unabeti hivi wakati odds bado zipo nzuri hivi?
Mimi naona ni bora kusubiri goli liingie nyavuni kuliko kuomba goli lisipatikane.
Hahahaa.. Sawa mkuu.Mkuu ni timing na bahati
Mfano hawa madogo wanaonekana kubaniana sana
Unawakadiria hawafungani tena unatupia mzigo unabinya korodani
Wakifunga tu pale pale unawatwanga tena under kurecover kama muda utaruhusuView attachment 1038512
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani huko Guanzhou anaongoza goli mbili bila lakini odds bado inasimama 1.6 kunani huko jamaniView attachment 1038508
Sent using Jamii Forums mobile app
Natembea na wewe mkuuSlot No.1
Cape Town City FC - Mamelodi Sundowns
Mamelodi Sundowns (Draw No Bet)
1.60
Derby County - Wigan Athletic
Over 0.5 goals (Second Half)
1.30
Odds 2.08