Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,457
- 874
Yah jamaa mmoja mwaminifu sana.Asante sana Internal
Asante sana Internal
Asante sana @intetnal
Rasmi sasa nimekuwa 1×bet na bettin
Sent using Jamii Forums mobile app
Work Done. Mbavu mbiliKesho naanza rasmi uwekezaji 1×bet
Nakushuru Sana mdau uliyeleta habari za Internal
Amekuwa msaada Sana huyu jamaa.
Kesho nitapokea mzigo wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu uaminifu wa hivi sina kabsa. Yani nitelekeze kazi??Jamaa mwaminifu sana nilimwamini na akatekeleza kazi.
Big up kwake.
Asante sana mkuu, umenisaidia kwa sasa nakomaa na 1xbet.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu uaminifu wa hivi sina kabsa. Yani nitelekeze kazi??
Naona wakenya tunazidi kuwa wengi, ni mwendo wa kuchukua uraia tu na safarcom.
Karibu kenya mkuu.Asante sana Internal
Asante sana Internal
Asante sana @intetnal
Rasmi sasa nimekuwa 1×bet na bettin
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Karibu site tuanze ujenzi, maneno maneno waachie Dada zako. "Betting ni fursa sahihi Kwa watu makini".Void=empty= mufilisi
Hebu fafanua Mkuu...Jamani tahadhari kabla ya hatari kwa wapenzi wapya wa 1xbet
Kama wewe ni mkamalia mkubwa unategemea kupiga mamilioni ya shilingi basi jua uko kwenye hatari
1xbet ndio kampuni kubwa inayoongoza kwa utapeli duniani
Vilaki laki hivi hawana shida sana na hakikisha mzigo ukifika milioni toa kidogo kidogo
Vinginevyo unakula block na huna pakulilia
Just try to google
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi niliwahi kutoa kamilioni na ushehe hiviHebu fafanua Mkuu...
Kwa mfano umepiga million 10 hivi hawalipi au ukitaka KU withdraw hawatoi unakula block??
Ni kweli ukisoma maoni ya watu wengi wameonesha kuwalalamikia hawa jamaa hasa ukiwala pesa mingi...iko shida sehemu..mbaya zaidi wanajitangaza kinoma..Mkuu mi niliwahi kutoa kamilioni na ushehe hivi
Nikaanza kuambuwa sijui acc yagu ipo kwenye uangalizi niaambiwa nitume picha yangu, kitambulisho au paspoti, screen shot ya e wallet yangu
Nilipo google ndio nikaua hawa jamaa ni mafya kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi niliwahi kutoa kamilioni na ushehe hivi
Nikaanza kuambuwa sijui acc yagu ipo kwenye uangalizi niaambiwa nitume picha yangu, kitambulisho au paspoti, screen shot ya e wallet yangu
Nilipo google ndio nikaua hawa jamaa ni mafya kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tupe na sie elimu kidogo ya 1xbet namna ya kudeposit na withdraw maana hizi zingine bado sanaAsante sana mkuu, umenisaidia kwa sasa nakomaa na 1xbet.
hii ni kweli mkuu.Jamani tahadhari kabla ya hatari kwa wapenzi wapya wa 1xbet
Kama wewe ni mkamalia mkubwa unategemea kupiga mamilioni ya shilingi basi jua uko kwenye hatari
1xbet ndio kampuni kubwa inayoongoza kwa utapeli duniani
Vilaki laki hivi hawana shida sana na hakikisha mzigo ukifika milioni toa kidogo kidogo
Vinginevyo unakula block na huna pakulilia
Just try to google
Sent using Jamii Forums mobile app
SafaricomMkuu tupe na sie elimu kidogo ya 1xbet namna ya kudeposit na withdraw maana hizi zingine bado sana