Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
Hongera.. ila mkuu unaonekana una roho ngumu kweli kweli..kubefi option ya UNDER!! tena kweli magoli!! Aah mimi siwezi aisee..
Labda unipe shule kidogo, unatumia vigezo gani mpaka unabeti hivi wakati odds bado zipo nzuri hivi?
Mimi naona ni bora kusubiri goli liingie nyavuni kuliko kuomba goli lisipatikane.
Mi hela nyingi huwa napatia kwa UNDER kuliko over mkuu, na hakuna option ninayoiogopa kama Over 2.5 au GG