Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Wanatishana tuHapa umemaliza mkuu...kwahyo kumbe inshu ni katika kujiridhisha hasa kwenye kutoa viwango vikubwa vya pesa.
Wanatishana tuHapa umemaliza mkuu...kwahyo kumbe inshu ni katika kujiridhisha hasa kwenye kutoa viwango vikubwa vya pesa.
Mkuu ilikua m1.6 nilipata taabu sana kama wiki 3 hivi nikiwatumia hiki wanasema tuma hikiNa vipi ukaamua kufuata taratibu na matakwa yao bado wanaweza kukuzuia kutoa pesa ikiwa wamejiridhisha kwa kuverify vitu walivyovihitaj??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio ulipaswa kwanza kujiuliza kwanini mwisho wa siku baada ya wewe kufanya waliokuambia walikulipa pesa yako?Je mkuu unafikiri walikuogopa tu ikiwa kama kweli walipanga kukudhulumu?Jibu ni Hapana...... swala ni kua huwa wanataka kujiridhisha kama kweli wewe ndiye mwenyewe, hackers wengi mno katika hizi akaunt plus hii tabia ya ku log in katika akaunti zetu kwa kutumia device tofauti tofauti yani leo umeingia kwa simu, kesho PC ivyo vyote wanaweza viona so kuna time wanastukaMkuu ilikua m1.6 nilipata taabu sana kama wiki 3 hivi nikiwatumia hiki wanasema tuma hiki
Mara wakasema sijui eti acc yangu inaonekana inatumiwa zaidi ya mimi nimevunja masharti nk
Nipambana baadae ndio wakaachia
Ukiwapiga parefuu sana wanakupiga washenzi sana hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia line ipi?Chief
Unaenda kwenye tool kit
Utakuta menu ya M pesa.
Kabla, unahamisha pesa toka m pesa kwenda safari com
Kisha unaituma huko
Nb
Naomba msaada kutumia bonus ya 1×bet.....
Mbona siioni?
Lakini nimeambiwa kwa meseji kuwa nimekuwa credited?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kukusaidia ukaishika safaricom, wewe tu na kuniamini kwako na pesa yako basi.Sawa mkuu internal, lkn hapa bongo napataje line ya safarcom?
Nataka nijifunze kukaa bila betslip angalau kwa wiki kama nitaweza.[emoji16] [emoji16] [emoji16] Mimi toka jana nimekaa kama mtazamaji.
Nakuona maskini mtarajiwa upo jukwaani.booommmmm
unaogopa umaskini hadi unabaki kuwa mtazamaji Mara mwingine nikae bila slip kwa. week.....jiandaeni kutembeza mabakuri uzeeni maana ndo fainaliNakuona maskini mtarajiwa upo jukwaani.
thubutu...ukijenga kwa betting nahama nchiMkuu Karibu site tuanze ujenzi, maneno maneno waachie Dada zako. "Betting ni fursa sahihi Kwa watu makini".