Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

We jamaa unaonekana mnafki sana tena sio kidogo maana mie kazi yangu kusoma post za watu na kubeba mkeka japo sijawah kutuma mkeka wangu humu!
Kila nionapo post yako ni majungu tu na kuponda wenzio na sijui kwann una tabia za kike? Au huenda we ni ke[emoji33]but anyway hayanihusu hayo

Point yangu ni kwamba uache kufatilia watu maana hujui pesa za mtaji wanatoa wapi! Na hata kama wanalost hiyo juu yao na pesa yao na hujasaidia chochote kwenye utafutaji wa pesa ya betting[emoji88] hilo domo lako peleka saloon za kike hao watakusaidia kupiga majungu
SHEENZIIIIIIIII

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona unaua mbu kwa bunduki.
 
Masikini mbayuwayu kuna mkeka wa timu 4 wa kuanzia weekend aliuweka akamwamini Madrid sasa naona kazima na data....umasikini huu..tentententente

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakukaribisha uje kuzindua, wewe unafikiri wote tunapoteza muda humu kama wewe.
Mkuu, Mnafanya kosa sana kukimbizana na MWENDAWAZIMU...Sio lazima mumjibu nyie kaeni kimya endeleeni na mambo yenu akimaliza kuongea mwenyewe ataondoka. Wamekuja wengi sana humu kama yeye afanyavyo ila kwasasa hawaji tena
 
Back
Top Bottom