rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Ajax hawa watoto sio wa kawaida aisee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajax hawa watoto sio wa kawaida aisee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mungu anawaona ajaxAjax hawa watoto sio wa kawaida aisee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Salute Mkuu...!Mkuu, Mnafanya kosa sana kukimbizana na MWENDAWAZIMU...Sio lazima mumjibu nyie kaeni kimya endeleeni na mambo yenu akimaliza kuongea mwenyewe ataondoka. Wamekuja wengi sana humu kama yeye afanyavyo ila kwasasa hawaji tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NA LEO MSITHUBUTU MAANA MIKEKA ITACHANIKA VIBAYA SANA...TAFADHARI ZINGATIENI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano LeoHakuna kitu kama hicho aisee hata ukiijua timu kwa undani kiasi gani huwezi jua kitatokea nn kwenye mechi mfano refa anaweza kupendelea,makosa yanaweza tokea,bahati mbaya pia zipo na situation nyingine nyingi sana zinaweza kuaffect mchezo,ingekuwa rahis kiasi hicho sidhan kama kungekuwa na hii biashara ya betting.
Man u kumfunga psg ni sawa na kuku kummeza temboMfano Leo
PSG vs man u
Man u anaweza asisonge mbele lakini akashinda Leo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Man u kumfunga psg ni sawa na kuku kummeza tembo
km wale majeruhi wake wamerejea inawezekana man u akashinda.Wale wa naotaka kunifuata wanifuate
Porto win
Man united win
Volos
Polokwane city
Dinamo tibilisi
Young boys bern
Sent using Jamii Forums mobile app
Je vip jana Ajax kumfunga Madrid? Tena goli nne halafu tena ni Santiago bernabeuMan u kumfunga psg ni sawa na kuku kummeza tembo
Ajax yuko juu ki perfomance kwa sasa kulinganisha na madrid.Je vip jana Ajax kumfunga Madrid? Tena goli nne halafu tena ni Santiago bernabeu
Sent using Jamii Forums mobile app