Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bet pawa kampuni maskini sana kwa mfano leo kuna ligi ambazo ni profitable hawajaweka ila ukiingia 1xbet ziko tena zote mfano ligi ya HUNGARY NB II, TURKEY 3rd LEAGUE,GUATAMALA LIGA NACIONAL hizi ni baadhi tu kwa leo binafsi naona hawa wanataka kupiga watu kila siku wao wawe tu wanaingiza ila wa live kule wako sawa na si machaguo ya ushindi NB:Hepuka makampuni ya kibongo utafilisika ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Betpawa wanabana sana aisee. Kanji anataka avune yeye tu.
 
narudia tena msitubutu kabisa.msije filisika kama mbayuwayu na void na mkewe honestty
[emoji115]
Screenshot_2019-03-06-14-27-03-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti kuna jamaa anadanganya watu kuwa anajenga kwa hela za betting....khaaaaa
 
Back
Top Bottom