Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba kuuliza kwani uzi huu umejaa wanawake sana kuna shoga mmoja mjane toka jana naona anatoa mapovu tu kwa hawajamwachia hela ya tembele akapikie mumewe aacha kudanga huku huyo shoga mjane kazi umbea tu. uzi huu ni kwaajili ya kubet tu na syo jukwaa la wanawake ukiona siku hyo mashoga zako hawapo kalale tu coz huk hakuna mashoga zako

Sent using Jamii Forums mobile app
MASIKINI WA KESHO WEWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee...
Screenshot_20190306-195803~2.jpeg
 
Ndugu zangu hii ni moja Kati ya ligi ya HANGARI NB II ambayo betpawa hawakuiweka lakini mnaweza kuona matokeo saizi, hivyo unaweza kuona namna gani hizi kampun za kwetu wanavyochambua ligi za ushindi nakuziweka kwanza pembeni, izo gem zilizoshinda nimefwatilia zilikua na point 1.6 na around point 1.5 ,walioko 1xbet watakua waliziona Kama wanajua kuchambua profitable leagues,kuna wetu wangependa kujua profitable leagues ni zipi hizi ni ligi ambazo ziko less tracked by the bookmakers
IMG_20190306_202556_858.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu hii ni moja Kati ya ligi ya HANGARI NB II ambayo betpawa hawakuiweka lakini mnaweza kuona matokeo saizi, hivyo unaweza kuona namna gani hizi kampun za kwetu wanavyochambua ligi za ushindi nakuziweka kwanza pembeni, izo gem zilizoshinda nimefwatilia zilikua na point 1.6 na around point 1.5 ,walioko 1xbet watakua waliziona Kama wanajua kuchambua profitable leagues,kuna wetu wangependa kujua profitable leagues ni zipi hizi ni ligi ambazo ziko less tracked by the bookmakers View attachment 1039680

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi mkuu.. Betpawa waliweka mechi zisizoeleweka kabisa, nilikuja kushangaa baada ya kuangalia 1xbet na kuona kuna mechi za pesa.
Betpawa wameanza uhuni.. Hapa nafanya mpango wa kuwahama.
 
Ndugu zangu hii ni moja Kati ya ligi ya HANGARI NB II ambayo betpawa hawakuiweka lakini mnaweza kuona matokeo saizi, hivyo unaweza kuona namna gani hizi kampun za kwetu wanavyochambua ligi za ushindi nakuziweka kwanza pembeni, izo gem zilizoshinda nimefwatilia zilikua na point 1.6 na around point 1.5 ,walioko 1xbet watakua waliziona Kama wanajua kuchambua profitable leagues,kuna wetu wangependa kujua profitable leagues ni zipi hizi ni ligi ambazo ziko less tracked by the bookmakers View attachment 1039680

Sent using Jamii Forums mobile app
nitaifuatilia hii pia kuna ligi ndogo ya russia na yenyewe iko vzuri kwa magoli
 
Back
Top Bottom