Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Young Boys leo wanaoshwa goli za kufa mtu.

GG inahusika hapa, isipopatikana nitashangaa.


1551897476198.png
 
Ndugu zangu hii ni moja Kati ya ligi ya HANGARI NB II ambayo betpawa hawakuiweka lakini mnaweza kuona matokeo saizi, hivyo unaweza kuona namna gani hizi kampun za kwetu wanavyochambua ligi za ushindi nakuziweka kwanza pembeni, izo gem zilizoshinda nimefwatilia zilikua na point 1.6 na around point 1.5 ,walioko 1xbet watakua waliziona Kama wanajua kuchambua profitable leagues,kuna wetu wangependa kujua profitable leagues ni zipi hizi ni ligi ambazo ziko less tracked by the bookmakers View attachment 1039680

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu, naiongeza kwenye list yangu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa haraka haraka profitable league ni hiyo ya turkey 3 league, Portugal compionat, Spain segunda division B, england national league ,England professional development, england u23,spain u19, Saudi Arabia division 1 na2, Saudi Arabia professional development, Italy serial c, Scotland league 1 na 2,brazil poulista A1&A2 na A3, Guatemala liganos na Guatemala liga Nacional na nyingine nimezisahau hizi ligi mkubwa ni mkubwa hata Kama anachezea ugenini anauwezo mkubwa kutabirika kushinda fwatilia utaniambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom