Mzee mwenzangu hii style ya second half nimeipenda! Na goli nyingi kwa kwel zinapatikanaga kipindi cha piliSlot No.3
Borussia Dortmund - Tottenham Hotspur
Borussia Dortmund (Draw No Bet)
1.50
Cowdenbeath FC - Peterhead FC
Over 0.5 goals (Second Half)
1.20
Odds:
1.80
Haswaa....kama ni mdau wa Odds zisizozidi 2 ulali njaaMzee mwenzangu hii style ya second half nimeipenda! Na goli nyingi kwa kwel zinapatikanaga kipindi cha pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa..Haswaa....kama ni mdau wa Odds zisizozidi 2 ulali njaa
Mkuu ninepokea safari com yangu Leo.Naweza kukusaidia ukaishika safaricom, wewe tu na kuniamini kwako na pesa yako basi.
Wee jamaa mbona husomeki? Kama unaona hapakufai humu si anzisha uzi wako wa kinafki, acha ukuda.
Dawa Ni kumuondoa kwenye huu Uzi, kwani anaharibu Uzi, mods afanye kazi Yake..!Wee jamaa mbona husomeki? Kama unaona hapakufai humu si anzisha uzi wako wa kinafki, acha ukuda.
kosa langu ni niniDawa Ni kumuondoa kwenye huu Uzi, kwani anaharibu Uzi, mods afanye kazi Yake..!
Uzuri wa maisha hatuigani kila mtu anafanya vile aonavyo.kiukweli msijidanganye hakuna utachofanya na mwishowe utajuta tu!!!
Naona ukimuua Madrid kimya kimya.[emoji120][emoji120]
We jamaa unaonekana mnafki sana tena sio kidogo maana mie kazi yangu kusoma post za watu na kubeba mkeka japo sijawah kutuma mkeka wangu humu!kiukweli msijidanganye hakuna utachofanya na mwishowe utajuta tu!!!
Madrid hawezi kuleta umasikini maana hata utajiri hakuleta yeye.haya sasa jiandaeni na umasikini unaoletwa na MADRID......MASIKINI WAKUBWA NYIE
Sent using Jamii Forums mobile app