Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mbayuwayu account blocked....isipokuwa hivyo nafuta app hii
 
Ukiona Kuna mjinga anazingua na hupendi kuona upuuzi wake click kwenye jina lake then utaona sehemu imeandikwa ignore.. click hapo..umemaliza! Tuko pamoja wapambanaji.
we jamaa sura yako inafanana na avator yako
 
LEO NAONA DALILI ZA WATU KUWA MASIKINI FUKARA....ACHENI TAFADHALI MTAJUTA
 
Huu ndio ungese wa 1xbet
Sasa kutoa elf40 tu eti acc under review
Hapa ntamaliza wiki kadhaa tunasumbua mara tuma hiki mara kile

Yaani hawajamaa wananikeraaaaaa
Sijui ni mimi tuView attachment 1040201
Juzi iyo ilinitokea pia premierbet, nilikua natoa laki 9 wakaniambia nijaze mahali palipoandikwa "My details" nilipojaza nikajaribu kutoa pesa ikatoka
 
NYUMBUZI NYIE MNGEKUWA NA VIHELA MNGEMCHANGIA MOD AFUTE ACC YANGU ILA NJAA ZINAWASUMBUA MNABAKI KULALAMA
 
SSC Napoli - RB Salzburg
SSC Napoli
1.55
Chelsea FC - FC Dynamo Kiev
Over 0.5 goals (second half)
1.22

Odds 1.89
 
SSC Napoli - RB Salzburg
Over 0.5 goals (second half)
1.20
Valencia CF - FC Krasnodar
CF Valencia
1.40

Odds: 1.68
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…