Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sevilla katufanya tume renew wasingekuwepo wanaume watatu Chelsea, Napoli na Valencia sijui ingekuwaje, ningkuwa na uwezo wa kichawi ningepaa usiku wa jana kuwafuata na kuwatia mijeredi ya kutosha
 
NIPE TUSI LOLOTE UNALOJISKIA KUNIPA KWA KUFATA HUO UPUMBAVU.
Screenshot_20190308-073500.jpeg
IMG_20190308_073930.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni maoni yangu kuhusu betpawa
Hawa jamaa ni wajanja wajanja sana kama ni mtumiaji wa betpawa utagundua hawa jamaa kila zikipigwa ligi kubwa hasa za uefa na mechi za ligi mbalimbali hasa wikend wanakuja na tangazo lao wakidai kuna tatizo selcompay
Mimi naona hii ni delaying technique na wanaifanya makusudi ili watu walioshinda mikeka yao wakati wanasubiri selcompay ikae vizuri wanaendelea kubetia zile hela
Kwa mfano kama ulishinda 200k mpaka mtandao uje ukae vizuri kuweza kutoa hela utajikuta umebakiwa na 50k
Screenshot_20190308-075025.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimerudi kwa fujooo!👇👇 leo ni siku ya kupuna loading.....
 
Back
Top Bottom