Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka ikitiki msisahau kujenga ndugu zangu, na unapoamua kujenga nitafute nikujengee
Gharama zangu ni nafuu.

Msingi wa nyumba ya kisasa ni kati ya 4mil - 6mil kutegemeana na aina ya kiwanja. Hiyo hela ni labour plus materials.
IMG_20180616_141007_872.jpg
IMG_20181002_214000_783.jpg
IMG_20180907_190816_749.jpg
IMG_20190224_185737_142.jpg
 
Wakuu za Muda, kwa Mtu aliyetumia Parimatch. Msaada Kuhusu Withdrawal na Deposit wako Fasta?
Na Je wana Games za Kutosha au nao Ka Betpawa wanabana baadhi Ya Games?
Msaada
 
Wakuu za Muda, kwa Mtu aliyetumia Parimatch. Msaada Kuhusu Withdrawal na Deposit wako Fasta?
Na Je wana Games za Kutosha au nao Ka Betpawa wanabana baadhi Ya Games?
Msaada

Wako njema saana kwa vyote hvyo ulivyouliza mm nasema wapo vizuri kuliko betpawa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom