Mwenda pole hajikwai
JF-Expert Member
- Oct 24, 2018
- 290
- 212
Baba kazi unayoNimeuza kiwanja ili nibet kikubwa.
Nitawapa mrejesho dakika 40 zijazo
Duuh unahatari sana mkuuView attachment 1040957kitu hicho
Duuh unahatari sana mkuu
Kitu wonHongera mkuu..
we mabuya utafilisikaNimeuza kiwanja ili nibet kikubwa.
Nitawapa mrejesho dakika 40 zijazo
WE MABUYA MUONGO ...STAKE LIMIT NI 200000 WE UNATUDANGANYA TUKUAMINI..WANAOKUAMINI NI BUYAAAZIII KAMA WEWEView attachment 1040957kitu hicho
Kitu won
Acha ushamba wewe. Betpawa limit ni kiwango cha kulipwaWE MABUYA MUONGO ...STAKE LIMIT NI 200000 WE UNATUDANGANYA TUKUAMINI..WANAOKUAMINI NI BUYAAAZIII KAMA WEWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu won bossKila la kheri Mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
KAMA UMEKULA KWELI UNAOGOPA NINI KUWEKA GREEN TUSHUHUDIEAcha ushamba wewe. Betpawa limit ni kiwango cha kulipwa
Weka payout yenye alama ya kijani mkuuView attachment 1040970imetika wazee ndani ya dakika 45 nimeingiza faida ya 4,000,000
Hawezi kuweka huyo.. hahaa