Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,622
- 2,750
Iyo team uliyoipa Draw no bet isiposhinda na mechi ikawa draw unarushiwa pesa yako
Unapoomba kuelekezwa usiwe mgumu kuelewa aiseee, Double chance mtu team ikipata sare analipwa baada ya kuzidisha Odds na stake. Draw no bet inarudi pesa yako jinsi ilivyo. Hivyo vitu viwli tofauti ndio sababu Odds za Draw No bet ni kubwa kuliko za double chanceSa si ni sawa tu na kuweka double chance yan 1x au 2x
Unauliza unaelekezwa unaleta ujuajiSa si ni sawa tu na kuweka double chance yan 1x au 2x
Hivi alikua amebakiza team zipi ?
Alikuwa kabakisha timu za serie A nadhaniHivi alikua amebakiza team zipi ?
Timu ya mwisho haikuonekana lakin... Bt nahis atakuwa ametusua tuu
Hapo sasaHivi mkileta hii mikeka kabla ya kuwa won mnapungukiwa nini wazee?
muulize void=emptyHivi mkileta hii mikeka kabla ya kuwa won mnapungukiwa nini wazee?