Mkweli77
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,459
- 1,144
Hiyo Application Ni mzuri saanaa huwa inanisaidia saana katika kuchambua mechi,Hiyo Application inaitwaje mzee baba.
Hiyo Application Ni mzuri saanaa huwa inanisaidia saana katika kuchambua mechi,Hiyo Application inaitwaje mzee baba.
mdau kila nikiipakua hii app inagoma nifanyeje ili niwe nayo!!!!
Mkuu kama hutojali njoo pm nkutumie kwa whatsapmdau kila nikiipakua hii app inagoma nifanyeje ili niwe nayo!!!!
Arsenal bwana,Leo hamna cha droo kwa man u na chelsea,mmoja lazima aeleweke,ila chelsea machozi yatamtoaka
Sent using Jamii Forums mobile app
KAMA ULIFWATAAAA ENGN SOMAHIOOOOOOOOOOO
CS YA SIMBA IKO HAPA MDAA TUTUKYTANE BAADAYA MECHI NUKUU HIZO TIPS
yeah nimefanikiwa, ninayo tayariumefanikiwa jamaa? mbona mimi nikiipakua inagoma!!!