We nawe mboyoyo mingi Huna lolote Umeambiwa leta mkeka uliokula Milioni umekaa Kimya yani cjui unadhani sisi ni mafala kiasi gani hata
soka255 humdanganyi kwa style hiyo Kelele mingi Milioni milioni milioni milioni Sasa unatudanganya sisi ili iweje hasa [emoji23][emoji23][emoji23] What For? Umaarufu? Wote hatujuani humu! Wenzio akina @void. Hata hawapigi kelele anapost green ya 100k bila Caption yoyote ile ila wewe sasa kelele mingi Huna lolote unapost limkeka ambalo hujalipia [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90] Umeandika listake milioni unatuambia umekula [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Sent from my iPhone using JamiiForums