Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu ili tuone mafanikio ktk betting inabidi uwe na mtaji mkubwa. Mfano ukifikia hatua ya kustake kuanzia 1000000 ndipo utaona matunda.
Mfano mm jana betpawa hawatanisahau nimewapiga 7mil .

Kuna game ilikuwa over 0.5 odd 1.18 dakika ya 11. Nikaweka stake ya 2mil . Dakika ya 16 jamaa wakafunga. Nikapata faida ya 236000.

Ili kuvuna hela ya mhindi ni lazima uwe na staki kubwa.

Leo nitawapa mrejesho , ngoja hangover za pombe ziishe niingie mzigoni.
Ni kweli juzi nami nimetafuta odds 10 nitaweka mil 1 na leo nimeruhusiwa kutoka hospitali.
 
Huo ndo ukweli...huu mchezo ukiwa na mtaji mkubwa na moyo mgumu unakutoa kabisa....odds 1.1 ukistake 1m unapiga laki....yaani hapo mithili unamiliki daladala....ila uwe na moyo mgumu kweli.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nimejifunza kwa jamaa yangu. Anafanya kazi barrick gold mine. Jamaa anakula bata hatari, kila siku si chini ya 200,000 anamalizia baa, baada ya kumhoji zaidi akanipa mchongo huo. Jamaa anamtaji mkubwa wa kubet, betting imempa gari mbili za kubeba mchanga, anamiliki maeneo kila kona ya dar. Hesabu yake kwa siku ni 8mil. Mtaji wake ni 30mil.
 
Na raha ya betting uwe na source nyingine ya income......uzuri ukiona mechi haieleweki unauza game bora nusu hasara maana unaweza kujipanga upya.....kuna watu vyuma havikazi.....na bet nzuri ni ya magoli....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nimejifunza kwa jamaa yangu. Anafanya kazi barrick gold mine. Jamaa anakula bata hatari, kila siku si chini ya 200,000 anamalizia baa, baada ya kumhoji zaidi akanipa mchongo huo. Jamaa anamtaji mkubwa wa kubet, betting imempa gari mbili za kubeba mchanga, anamiliki maeneo kila kona ya dar. Hesabu yake kwa siku ni 8mil. Mtaji wake ni 30mil.

Ofcoz kama unahela ya maana hapo ni sawa unaweza cheza kwa style hyo ila otherwise unajitafutia pressure tu maana kuliwa Million kwa sababu ulikuwa unatafuta laki 2 niukichaa kwa kiasi flan.
 
Kwa wale wadau wanaotumia Safaricom kwa 1xbet vip suala la kuwithdraw? Kuna aliyefanikiwa kuwthdraw bila zengwe?
 
Risk Taker ndo anaefanikiwa.....hiyo ni daily routine bob....akifanikiwa kupata wiki nzima yupo mbali....
Ofcoz kama unahela ya maana hapo ni sawa unaweza cheza kwa style hyo ila otherwise unajitafutia pressure tu maana kuliwa Million kwa sababu ulikuwa unatafuta laki 2 niukichaa kwa kiasi flan.
Risk Taker ndo anaefanikiwa.....hiyo ni daily routine bob....akifanikiwa kupata wiki nzima yupo mbali....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu ili tuone mafanikio ktk betting inabidi uwe na mtaji mkubwa. Mfano ukifikia hatua ya kustake kuanzia 1000000 ndipo utaona matunda.
Mfano mm jana betpawa hawatanisahau nimewapiga 7mil .

Kuna game ilikuwa over 0.5 odd 1.18 dakika ya 11. Nikaweka stake ya 2mil . Dakika ya 16 jamaa wakafunga. Nikapata faida ya 236000.

Ili kuvuna hela ya mhindi ni lazima uwe na staki kubwa.

Leo nitawapa mrejesho , ngoja hangover za pombe ziishe niingie mzigoni.

We nawe mboyoyo mingi Huna lolote Umeambiwa leta mkeka uliokula Milioni umekaa Kimya yani cjui unadhani sisi ni mafala kiasi gani hata soka255 humdanganyi kwa style hiyo Kelele mingi Milioni milioni milioni milioni Sasa unatudanganya sisi ili iweje hasa [emoji23][emoji23][emoji23] What For? Umaarufu? Wote hatujuani humu! Wenzio akina @void. Hata hawapigi kelele anapost green ya 100k bila Caption yoyote ile ila wewe sasa kelele mingi Huna lolote unapost limkeka ambalo hujalipia [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90] Umeandika listake milioni unatuambia umekula [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mkuu vip huwa unadeposit na kuwthdraw kwa njia gani? Safaricom ama bitcoin? Kama ni safaricom vip kwenye kiwthdraw hawasumbui maana najua kwenye kudeposit hamna kikwazo.
Safaricom haina shida kutoa sema kama ni pesa mingi une piga toa kidogo kidogo uki request kias kikubwa wata hitaji ufanye verification ya full registration

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nawe mboyoyo mingi Huna lolote Umeambiwa leta mkeka uliokula Milioni umekaa Kimya yani cjui unadhani sisi ni mafala kiasi gani hata soka255 humdanganyi kwa style hiyo Kelele mingi Milioni milioni milioni milioni Sasa unatudanganya sisi ili iweje hasa [emoji23][emoji23][emoji23] What For? Umaarufu? Wote hatujuani humu! Wenzio akina @void. Hata hawapigi kelele anapost green ya 100k bila Caption yoyote ile ila wewe sasa kelele mingi Huna lolote unapost limkeka ambalo hujalipia [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90] Umeandika listake milioni unatuambia umekula [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]

Sent from my iPhone using JamiiForums
Unawashwa nn? Unatafuta bwana bila shaka.

Nimetoa ushauri kuwa ukitaka kuona faida weka stake kubwa.
Kwakua unawashwawashwa unanijia kichwakichwa shoga wewe.
Pumbafuuu kabisa
 
Back
Top Bottom