Big TIMERS
Senior Member
- Dec 5, 2018
- 120
- 141
nina kama miezi 2 nabet match moja tuu kila siku over 2.5, miezi 2 mfululizo bet zote WON. nastake 20% ya mtaji. nilianza na mtaji wa 10,000 huwa najiulizaga bets zote hizo ningekuwa nastake pesa ndefu ningeshanunua Raum. naunga mkono hoja mtaji mkubwa ndio mpango mzimaHuo ndo ukweli...huu mchezo ukiwa na mtaji mkubwa na moyo mgumu unakutoa kabisa....odds 1.1 ukistake 1m unapiga laki....yaani hapo mithili unamiliki daladala....ila uwe na moyo mgumu kweli.....
Sent using Jamii Forums mobile app