Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Neil Lennon ndiye kocha wao sasa, pamoja na hivyo kabla BR hajaenda Leister yalishawahi nichoma haya...
Jana nilimuogopa Borussia nikamparamia huyu mwehu..odd 3.6 akapita nazo..

Sent from my SM-G532F using Tapatalk

Pole sn Chief ... hii kazi muda mwingine in a discourage sn.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sydney Olympic ananitia majaribuni hapa ...


1552200084257.png
 
Inaitwa betswall mkuu ina vichwa vya ajabu kwa kuotea kama huyo jamaa amajisajili kama guest1662587 kutoka tunisia huko.....
mwanangu mimi najaribu kuipakua playstore inazingua hivi naweza kuichukulia gugo?...nijuze pia predictions zao unaona kwa kulipia ama free
 
mwanangu mimi najaribu kuipakua playstore inazingua hivi naweza kuichukulia gugo?...nijuze pia predictions zao unaona kwa kulipia ama free
Ni freeee of charge yani ni mwendo wa kuwacheki wale wadau wenye uwezo wa kubet mechi zenye odd+ za kutosha na kujilipua...
 
Back
Top Bottom