nyegere86
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 2,215
- 3,903
Aisee nilishakata tamaa ngoja niagize beer sasaMaombi yako yamesikika download pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nilishakata tamaa ngoja niagize beer sasaMaombi yako yamesikika download pesa
Unabetia vp maana nina 50k kama 2weeks hv nimeshindwa kuitumia...nikiselect bonus balance nikitupia stake inagoma
Inplay ni nyoko sana ingawa ikitoa inakulipa vizuriInPlay unafilisika ndani ya dk chache sana ukienda pupa. Reims ni fala sn.
Walipogombana na tigo ,Voda na Airtel walikuwa marefaree au ..maana nao hawamo kwenye kuwithdraw
Jamani msaada tutani,mimi bado kabisa ndio niko chekechea kwenye hizi mambo za kubet,naomba kueleweshwa mambo machache niyaelewe.
Yakupaswa uelewe kwanza haya maneno; OVER maana Yake ni juu ya, UNDER maana Yake ni chini ya.Jamani msaada tutani,mimi bado kabisa ndio niko chekechea kwenye hizi mambo za kubet,naomba kueleweshwa mambo machache niyaelewe.
Ufafanuzi please wa hizi namba 1.5 over/under 2.5 over/under na yanayofanana yanaashiria goli ngapi?
Pia kampuni gani bora kwa kubetisha naweza anza nayo. Msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakuombea mkuu ikibaki moja unaweza kubeti kinyume ili kuwa na assurance na pesaMillion 78 bado mechi mbili dua zenu wakuuView attachment 1042000
[emoji123][emoji123][emoji123] Ntalifanyia kazi hiliTunakuombea mkuu ikibaki moja unaweza kubeti kinyume ili kuwa na assurance na pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungenikuta ukaniuliza ningekwambia usimpe spurs, st. Marys ni pagumu sana kwa timu kubwa, soton ni wajinga sana. Wako tayari kufungwa nyumbani na Fulham lakn siyo na timu kubwaTotnhum ulaaniwe kokote uliko, ikiwezekana utoke hata hapo big four
Sent using Jamii Forums mobile app