2-0/2-1
Nina kilo kwenye akaunti yangu vipi niistake according to your instincts lakini?2-0/2-1
Mkuu plan ya leo ikoje? Tubet live au tuweke dhamana zetu mapema kabisaaaa?Tahadhari. Mikeka ni hatari kwa afya yako ya kifedha kwa game za uefa leo na kesho
Single.........
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kila nikichungulia nasita sita, sijui kwanini aiseeMkuu plan ya leo ikoje? Tubet live au tuweke dhamana zetu mapema kabisaaaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
12ggNnawaza kwa sauti
Jevu ashinde both team to score
Atletico atakosa goli kweli?View attachment 1044027
Sent using Jamii Forums mobile app
Niwekee namba take huyu mbuzi wa kafara alikua anakata mauno humuInachoma kama pasi hahaha sasa mbona uwa unaleta ukahaba wako umu kaa unyamaze dawa iingie vizuri,sasa umalize uanze tena letea watu shobo la kim**ku utatatuliwa linda na namba yako tumeipata kenge wa jangwani wew
JUV OV 2.5/GG MCITY