uncledalali
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 249
- 118
ATM hapati goli kabisa leo................
Imekua team isiyo na striker makini kabisa ukiacha kumtegemea Antonio Griezman hii imesababisha hata katika la liga wao kushindwa kufunga goli nyingi, so nategemea Juve kushinda 2-0 ama 1-0 huku defence ikimchunga vizuri Morata na Griezmann
Kwa ufupi ninachoona mimi hapo ni UNDER 3.5 labda kuwe na mkono wa mtu.
Leo usiguse kabisa under.. Kila timu inataka magoli..over ni super safe sana. Tena over 1.5 basi.Kwa ufupi ninachoona mimi hapo ni UNDER 3.5 labda kuwe na mkono wa mtu.
Leo usiguse kabisa under.. Kila timu inataka magoli..over ni super safe sana. Tena over 1.5 basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow your instinct.....
Single ya kwanza kati ya 6
.View attachment 1044085
Sent using Jamii Forums mobile app
Draw No Bet ni kwamba unachagua timu moja ishindeHizi draw no bet sizielewi? Ufafanuzi Tafadhali wakuu.View attachment 1044097View attachment 1044098
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi draw no bet sizielewi? Ufafanuzi Tafadhali wakuu.View attachment 1044097View attachment 1044098
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu champion league huwa naipa umaalum wakeMzee mwenzangu wa UNDER leo naona umejilipua mazima!
ATM ni wazee wa UNDER 2.5 yani wanakuaga wazito kufunga just imagine ile game ya home dhidi ya Juve waliiweka mikeka mashakani mpaka dakika za mwshoNakubaliana na ww Mr. Wise ... ni nadra sana game anayocheza Atletico Madrid kutoa Over 2.5
Hizi timu zote mbili ni defensive sana, sitegemei kuona magoli mengi kwenye hii game labda itokee red card kwa timu moja.