Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna timu mechi moja jana nahisi ni Ugiriki, over 0.5 FT ilikuwa na Odds 1.12. Wajinga kipindi cha kwanza wana mabao 3.

FT 5-0. Hapo ukijidanganya na under utalia.
Ahaha!! sasa unakuta mtu humu dakika ni ya 74 na goli limechomolewa ikawa sasa 1-1 mtu hapo anafata kwa ujasir anaweka under 2.5 na kwa dakika hiyo unakuta odds zinakua kubwa haswa. Dakika 16 kweli unazuia goli na presha zote za goli kurudshwa unatulia nazo?
 
Kama Benfica jana alivyopokonywa ushindi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna timu mechi moja jana nahisi ni Ugiriki, over 0.5 FT ilikuwa na Odds 1.12. Wajinga kipindi cha kwanza wana mabao 3.

FT 5-0. Hapo ukijidanganya na under utalia.

Mi game zangu za UNDER huwa sifati Odds zinasemaje, mi huwa naangalia H2H,Form ya hzo timu,Tips zinasemaje alafu na instincts zangu so mara nyingi huwa nazichagua mapema kabla game hazijaanza na huwa sizifatilii sana, nakuja kucheki muda zikiwa mechi zote zimeisha otherwise labda kama ni mechi niliyokuwa nataka niiangalie hapo ndo unabana mbupu,na mara nyingi UNDER huwa haziniangushi kuna kipindi nilitengeneza mkeka wa UNDER 4.5 mechi 20 zote zikatiki manina!
 
Mi game zangu za UNDER huwa sifati Odds zinasemaje, mi huwa naangalia H2H,Form ya hzo timu,Tips zinasemaje alafu na instincts zangu so mara nyingi huwa nazichagua mapema kabla game hazijaanza na huwa sizifatilii sana, nakuja kucheki muda zikiwa mechi zote zimeisha otherwise labda kama ni mechi niliyokuwa nataka niiangalie,na mara nyingi UNDER huwa haziniangushi kuna kipindi nilitengeneza mkeka wa UNDER 4.5 mechi 20 zote zikatiki manina!
Aiseee haujawahi kurudia tena?
 
Aiseee haujawahi kurudia tena?

Nilishawahi sema huwa nafanya mara chache, kuna siku nilitengeneza mkeka wa mechi 15 Under 4.5 game 14 zikakubali moja ikanichania, hyo mechi cha kuchekesha kama nilipata wasiwasi nayo nikaiweka UNDER 5.5 wangese wakatoka 3-3 daah niliishia kucheka tu sema wachezaji wawili walikula umeme.
 
Back
Top Bottom