Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ama kweli kila mtu na strategy zake
Mi timu zikipishana odds kidogo na odds zenyewe ziwe kuanzia 2.6 natengeneza single mbili nazipa zote ushindi kila single
Atakaye shinda yeyote napiga hela

Mfano hapo ya leo saa 12 nimewapa wote kashinda mmoja kama ulistake laki kila single basi utapata laki2 na 80 ukitoa laki2 za stake unabakiwa na elf80 safi

Ikitoka drawa tu umepigwa mazimaView attachment 1044237View attachment 1044238

Sent using Jamii Forums mobile app

Duuh mzee kweli una roho ngumu,mechi kama hzi kutoa draw ni rahisi sana,hapo manake ukiloose unapoteza Laki 2
 
Duuh mzee kweli una roho ngumu,mechi kama hzi kutoa draw ni rahisi sana,hapo manake ukiloose unapoteza Laki 2
Hapana mkuu nimegundua haya makampuni sometimes wanatuchanganya na mgao wa odds zao

Mgao wa odds una hakisi 55% ya matokeo halisi

Mi kuna wakati nilikua nikiona ukaribu huo natembeza dc, matokeo yakitoka hakuna draw hata moja dadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee..
Screenshot_20190312-234822~2.jpeg
 
Najilipua kwa sh. 7,750/=. Sitaki hata kufuatilia, naenda kulala. Nitaiangalia kesho asubuhi ofisini. Dua zenu!

1552428590577.png
 
Mkuu nahitaji msaada wako kudeposit 1xbet kwa safaricom
@Mr. Wise una tumia vpn wakati wote unapo tumia 1xbet ili kucheat location uki tazama hii scrnshot utaona kwenye url natumia version ya kenya tazama vzur ivo ivo nnapo request deposit naletewa mobile deposit za kenya tu
Mpesa airtel money etc.
Na deposit ina fanyika as shown wewe una kwama sehem gan tusaidiane??
2019-03-13-01-18-59.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom