Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilishawahi sema huwa nafanya mara chache, kuna siku nilitengeneza mkeka wa mechi 15 Under 4.5 game 14 zikakubali moja ikanichania, hyo mechi cha kuchekesha kama nilipata wasiwasi nayo nikaiweka UNDER 5.5 wangese wakatoka 3-3 daah niliishia kucheka tu sema wachezaji wawili walikula umeme.
Duh huwa kuna pepo siyo siri. Mimi over 1.5 kila siku naandaa timu 30 zinachana 3, mbili au 4.
 
Nimeamua leo nijitoe ufahamu,mech za uhakika wanazingua
Screenshot_2019-03-12-22-12-38.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nikiona odds za home & away team hazipishani sana, mizimu yangu huwa inanielekeza kuweka X
Ama kweli kila mtu na strategy zake
Mi timu zikipishana odds kidogo na odds zenyewe ziwe kuanzia 2.6 natengeneza single mbili nazipa zote ushindi kila single
Atakaye shinda yeyote napiga hela

Mfano hapo ya leo saa 12 nimewapa wote kashinda mmoja kama ulistake laki kila single basi utapata laki2 na 80 ukitoa laki2 za stake unabakiwa na elf80 safi

Ikitoka drawa tu umepigwa mazima
Screenshot_2019-03-12-22-06-43-1.jpeg
View attachment 1044238

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema ukwelinatamani niangalie mpira. Lakini hizi gemu zinachezwa usiku sana. Hapa full kusinzia kwenye tv
 
Ama kweli kila mtu na strategy zake
Mi timu zikipishana odds kidogo na odds zenyewe ziwe kuanzia 2.6 natengeneza single mbili nazipa zote ushindi kila single
Atakaye shinda yeyote napiga hela

Mfano hapo ya leo saa 12 nimewapa wote kashinda mmoja kama ulistake laki kila single basi utapata laki2 na 80 ukitoa laki2 za stake unabakiwa na elf80 safi

Ikitoka drawa tu umepigwa mazimaView attachment 1044237View attachment 1044238

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya lost
Screenshot_2019-03-12-22-07-28-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom