Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Woga umenijaa sana leo...yaani umepitiliza odds 1.64...kisha mkeka unachanika vile vile mmmh!
 
Ebu nimalize na hii kitu nikalale zangu mie...maana sipo sawa kabisa leo!!1
 
Hizi options znapatikana sehemu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa ni wajanja sana, Messi anatumia left foot, Mo Sarah pia left foot, hivyo inabidi kujiongeza hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…